imam ali as

IQNA

IQNA – Haram tukufu ya Imam Ali (A.S.) mjini Najaf, Iraq, imetangaza kuanza kwa mradi wa kuandika nakala adhimu na ya kifahari ya kitabu cha Nahj al‑Balagha, mradi unaotajwa kuwa wa kwanza wa aina yake katika ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3482360   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/06/14

IQNA – Kituo cha Dar‑ul‑Qur'an cha Wanawake, kinachohusiana na Idara ya Usimamizi wa Haram Tukufu ya Imam Ali (AS), kinaandaa mashindano ya Qur'ani Tukufu kwa wasichana wadogo katika mji mtukufu wa Najaf.
Habari ID: 3482003   Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/27

IQNA – Baada ya kukamilika kwa mradi wa ujenzi wa Uwanja wa Hazrat Zahra (SA) katika haram ya Imam Ali (AS), uwanja huo unazinduliwa leo.
Habari ID: 3481671   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/17

IQNA – Hafla maalumu ya usomaji wa Qur’ani Tukufu imefanyika wiki hii katika haram tukufu ya Imamu Ali (AS) mjini Najaf, Iraq.
Habari ID: 3481644   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/11

IQNA – Kadiri siku ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Bibi Fatima Zahra (AS) inavyokaribia, maelfu ya matawi ya maua halisi yamepamba uwanja na ukumbi wa haram tukufu ya Imam Ali (AS).
Habari ID: 3481640   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/10

IQNA – Haram Tukufu ya Imam Ali (AS) iliyopo Najaf, Iraq, imetangaza kuwa inaendelea na maandalizi makubwa kwa ajili ya kuwapokea Wafanyaziyara wengi wanaotarajiwa kufika kwa ziyara ya Arbaeen ijayo.
Habari ID: 3480996   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/25

IQNA – Polisi katika mji mkuu wa Denmark, Copenhagen, wameanzisha uchunguzi kuhusiana na shambulio lililofanywa na kundi la vijana wa mrengo mkali dhidi ya Msikiti wa Imam Ali (AS).
Habari ID: 3480982   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/07/22

IQNA – Kituo cha Qur'ani cha Imamu Ali (AS) sasa kimefunguliwa rasmi katika eneo la kaskazini-mashariki mwa Bekaa nchini Lebanon, kikiwa taasisi ya kwanza ya aina yake katika eneo hili inayojitolea kwa elimu na uenezi wa Qur'ani Tukufu.
Habari ID: 3480684   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/05/14

Turathi za Kiislamu
IQNA – Maonyesho ya kimataifa katika Haram ya Imam Ali (AS) huko Najaf yanaonyesha kazi za sanaa zaidi ya 300 kwa ajili ya kusherehekea kuzaliwa kwa imam huyo. 
Habari ID: 3480042   Tarehe ya kuchapishwa : 2025/01/12

Maombolezo
IQNA - Zaidi ya waumini milioni moja walikusanyika kwenye HaramTukufu ya Imam Ali (AS) huko Najaf, Iraq katika maombolezo yaliyofanyika wakati wa kumbukumbu  ya kifo chake cha kishahidi na kushika sambamba na ibada za Usiku wa Laylatul Qadr.
Habari ID: 3478611   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/04/01

Ahul Bayt AS
IQNA – Haram Tukufu ya Imam Ali (AS) huko Najaf, Iraq, inaandaa programu ya kimataifa ya usomaji wa Qur'ani Tukufu iliyoanza Jumamosi.
Habari ID: 3478227   Tarehe ya kuchapishwa : 2024/01/21

Nukuu kutoka kwa Nahj al-Balagha /3
TEHRAN (IQNA) – Kwa mtazamo wa Imam Ali (AS), serikali ni njia tu ya kufikia malengo ya juu kama vile uadilifu wa kijamii. Mtazamo huu unaonekana kwa uzuri katika kitabu kikuu Nahj al-Balagha, ambacho ni mkusanyo wa maneno yake.
Habari ID: 3476189   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/12/03

Maonyesho ya Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Jumba la Utamaduni la Iran mjini Lahore, Pakistani, limeandaa maonyesho kadhaa katika Tamasha la hivi karibuni la Sanaa ya Kiislamu, ikiwa ni pamoja na nakala ya Qur’ani Tukufu iliyonasibishwa kwa Imam Ali (AS).
Habari ID: 3476145   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/25

Nukuu kutoka Nahjul-Balagha / 2
TEHRAN (IQNA) – Imam Ali (AS) anaashiria kwenye vipengele vya tauhidi safi katika Khutba ya 1 ya Nahj al-Balagha.
Habari ID: 3476092   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/15

Shughuli za Qur'ani
TEHRAN (IQNA) – Awamu ya Sita ya Mashindano ya Qur'ani Tukufu na Adhana kwa Waislamu wa Kaskazini mwa Ulaya itafanyika Februari.
Habari ID: 3476062   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/09

Wanazuoni Mashuhuri wa Kiislamu Duniani /3
TEHRAN (IQNA) – Sheikh Muhammad Sadiq Arjun (1903-1981), alikuwa mwanazuoni wa Al-Azhar nchini Misri ambaye aliandika vitabu vingi katika nyuga mbali mbali za sayansi ya Kiislamu. Moja ya vitabu vyake kinaitwa “Kamanda wa Waumini Ali ibn Abi Twalib (AS); Khalifa Bora Ambaye ni Mfano wa Kuigwa”.
Habari ID: 3476021   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/02

Fikra za Kiislamu
TEHRAN (IQNA) – Katika khutba ya 140 ya Nahjul Balagha, Imam Ali (AS) anasisitiza kwamba kusengenya sio sahihi katika mfumo wowote maadili na anapendekeza watu wawatendee wenye dhambi kwa huruma.
Habari ID: 3476016   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/11/01

Qur'ani Tukufu inasemaje/19
TEHRAN (IQNA) – Akirejea kutoka katika Hijja yake ya mwisho, Mtukufu Mtume Muhammad (SAW) alipokea aya kutoka kwa Mwenyezi Mungu ambazo zilifungamanisha kukamilika kwa jumbe zote za Mwenyezi Mungu na ujumbe mmoja maalum.
Habari ID: 3475954   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/10/19

Idul Ghadir
TEHRAN (IQNA)- Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameidhinisha pendekezo la Jaji Mkuu wa Idara ya Mahakama ya Iran, Gholam Hossein Mohseni Ejei la kupunguziwa vifungo au kuachiwa huru wafungwa zaidi ya 2,000 wa Kiirani.
Habari ID: 3475516   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/18

Idul Ghadir
TEHRAN (IQNA)- Jumatatu 18 Julai mwaka 2022 inayosadifiana na tarehe 18 Dhul-hija mwaka 1443 Hijria ni Sikukuu ya Idul Ghadir Khum, moja ya Idi kubwa za Waislamu.
Habari ID: 3475515   Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/17